Urais wa Tundu Lissu 'wamvuruga' Mbunge CCM
Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku (Musukuma) amefunguka juu ya kauli ya Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu kuwa akipewa nafasi ya kugombea Urais yuko tayari kukiwakilisha chama chake na kudai suala hilo lilikuwa ni ndoto yake.

