Simba yataja sharti la kuing'oa Nkana

Haji Manara

Klabu ya soka ya Simba kupitia kwa Afisa Habari wa klabu hiyo, Haji Manara imetaja sharti muhimu linalohitajika ili kufanikisha azma ya kuing'oa Nkana Red Devils katika hatua ya mtoano ya Klabu Bingwa barani Afrika wikiendi hii.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS