Watu wa Kilimajaro waitwa nyumbani

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, mama Anna Mghwira amewataka wananchi wenye asili ya mkoa wa Kilimanjaro kwenda mkoani humo kwa kipindi hiki cha sikukuu za mwisho wa mwaka, kwani kuna kitu maalum amewaandalia.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS