Kinachoendelea baada ya Mourinho kufukuzwa Paul Pogba kushoto na Jose Mourinho Muda mchache baada ya kocha Jose Mourinho kutimulia ndani ya Manchester United, mchezaji ghali zaidi ndani ya timu hiyo Paul Pogba ameonesha kufurahishwa na uamzi huo. Read more about Kinachoendelea baada ya Mourinho kufukuzwa