Jeshi lazidi kujitoa kwenye korosho

Jeshi la wananchi wa Tanzania limesema liko tayari kutumia meli yake yenye uwezo wa kubeba tani mia tano kusafirisha Korosho kwenda jijini Dar es Salaam baada ya maghala yaliyopo mkoani Mtwara kujaa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS