''Nitawapeleka Yanga FIFA' - Mwinyi Zahera Mwinyi Zahera Kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema yeye ataendelea kuhakikisha kiasi kidogo kinachopatikana kutoka kwa mashabiki kinakwenda kwa wachezaji kwani yeye anajua pesa zake atalipwa tu. Read more about ''Nitawapeleka Yanga FIFA' - Mwinyi Zahera