Barabara ya Morogoro kufungwa Pichani, sehemu ya barabara ya Morogoro. Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano imesema kuwa kesho Desemba 19, 2018 itafunga barabara ya Morogoro sehemu ya 'Kimara Stop Over' hadi Temboni Wilayani Ubungo jijini, Dar es salaam. Read more about Barabara ya Morogoro kufungwa