Mnyika amuomba Magufuli kufanya ubinadamu
Mbunge wa jimbo la Kibamba, John Mnyika amemuomba Rais Magufuli kutumia ubinadamu katika suala la bomoa bomoa lililofanyika Kimara huku akiiomba serikali iangalie namna ya kuwalipa fidia waliokuwa wakiishi kando ya barabara hiyo ambao nyumba na maeno yao ya biashara yaliyobomolewa.