Hiki ndicho kitakachomuondoa CAG kwenye nafasi
Katibu wa Itikadi na Uenezi, Ndg, Humphrey Polepole amesema kitendo cha Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali, Prof. Mussa Assad kuliita Bunge ni dhaifu ni kukikosea heshima chombo hicho kilichopewa mamlaka kamili.

