'Niliwasihi wasanii wafanye vitu vingine' -Kikwete
Rais mstaafu wa awamu ya 4 Jakaya Mrisho Kikwete, amesema amefurahishwa na kitendo cha msanii wa Hip Hop Mwana FA, kutambulisha bidhaa ya marashi 'Body Spray' kwa kuwa ni jambo ambalo alimshauri muda.