Manara awachana Simba baada ya kutolewa Sportpesa Mchezo kati ya Simba na Bandari FC Baada ya Simba kutolewa na Bandari FC katika nusu fainali ya michuano ya SportPesa jioni ya leo, Afisa Habari wa klabu hiyo, Haji Manara ameonesha waziwazi kusikitishwa na matokeo hayo. Read more about Manara awachana Simba baada ya kutolewa Sportpesa