Kocha Simba awachezea rafu Nkana FC Mchezaji mpya wa Simba Zana Coulibaly Klabu ya soka ya Simba imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya KMC kwenye mchezo wa ligi kuu soka Tanzania bara uliopigwa kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es salaam jioni ya leo. Read more about Kocha Simba awachezea rafu Nkana FC