Ndege maalumu yapeleka wachezaji kwenye fainali

Moja ya mechi za Mapinduzi Cup hatua ya makundi.

Kamati ya maandalizi ya michuano ya Mapinduzi mwaka 2019, inayofikia tamati leo, imeeleza kuwa timu za Azam FC na Simba zimesafiri leo kwa ndege kutoka Unguja kwenda Pemba tayari kwa mchezo wa fainali.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS