"Mimi ni mbahili, situmi na yakutolea"-Msami Baby Msanii Msami Baby Msanii na mkali wa kucheza hapa nchini Msami Baby, amefunguka kusema yeye ni mbahili sana kwenye matumizi ya pesa, pia huwa hatumi ya kutolea pale mtu anapomuomba msaada wa kumtumia pesa. Read more about "Mimi ni mbahili, situmi na yakutolea"-Msami Baby