Man City kuivaa Juve?Barcelona na Bayern je?
Klabu ya Manchester City ya England ambayo inaongoza kwa bao 2-1 dhidi ya Real Madrid,itamvaa mshindi kati ya Lyon na Juventus ya Italia ambapo katika mchezo wa kwanza wafaransa waliibuka na ushindi wa bao 1-0.

