Majaliwa aelezea sifa ya Rais Magufuli
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa moja ya sifa ya Rais Magufuli ni kusema ukweli na kuutekeleza, hii ni baada ya Rais Magufuli kumpigia simu na kuagiza kuwa ujenzi wa barabara ya kutoka Ruangwa hadi Nanganga unaanza mara moja.

