CHADEMA waadhimia kutorudisha posho Bungeni
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeadhimia kuyapuuzia maagizo ya Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai, aliyewataka Wabunge wote wa chama hicho ambao hawahudhurii vikao vya Bunge kwa sasa kurudisha posho walizolipwa, ambapo kwa umoja wao wanadaiwa zaidi ya Milioni 110.