Juma Abdul awajibu mashabiki wa Simba

Juma Abdul

Nahodha wa Yanga, Juma Abdul amewatoa hofu mashabiki wa timu hiyo na kuwataka kuwa na furaha kwenye kipindi hiki ambacho wanafanya maandalizi makubwa kuelekea kwenye mchezo dhidi ya watani wao wa jadi Simba.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS