Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu alipofanya ziara kutembelea na kujionea hatua ya ujenzi wa hospitali ya rufaa ya mkoa wa Geita Julai 17, 2019.
Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Geita unaendelea na awamu ya kwana inatarajiwa kukamilika hivi karibuni.