Afariki kwa kuzidisha dawa za nguvu za kiume Kutoka nchini Kenya, katika Kaunti ya Kakamega, mwanaume aliyejulikana kwa jina la Munala (42), amefariki Dunia baada ya kudaiwa kutumia dawa za Viagra ili kuongeza nguvu za kiume. Read more about Afariki kwa kuzidisha dawa za nguvu za kiume