Vilabu kuamua hatma ya Premier League leo

Shughuli za urushaji matangazo kwenye moja ya mechi za Premier League

Vilabu vya Premier League pamoja na mamlaka za soka nchini England wanakutana leo Mei 11, 2020 kujadili juu ya hatma ya msimu wa ligi wa 2019/20 kama inaendelea na msimu au vinginevyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS