''Hakutakuwa na ibada ya hijja'' - Abubakar Zubeir

Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Abubakar Zubeir bin Ally

Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Abubakar Zubeir bin Ally kwa niaba ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), ametangaza kuwa mwaka huu hakutokuwa na ibada ya hijja hii ni kutokana na kauli iliyotolewa wiki hii na serikali ya Saudi Arabia kutokana na janga la Corona.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS