Wanaume wapewa darasa siku ya Mama Duniani
Ikiwa leo ni siku ya Mama Duniani, wakazi mbalimbali wa jiji la Dar es salaam wamewashauri wanawake kuendelea kujituma ili kutengeneza kipato chao binafsi, huku wanaume ambao wazazi wao wapo kijijini wameaswa kuacha kuwasemea kwa wake zao pindi wanapoomba msaada.