Naibu Waziri Juliana Shonza aisifu FNL ya EATV
Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Juliana Shonza ameisifu show ya Friday Night Live inayoruka East Africa TV kila siku ya Ijumaa kuanzia 3:00 hadi 5:00 usiku kwa kusema, ni miongoni mwa vipindi anavyovipenda na kuvifuatilia.