Dirisha la usajili la England kufunguliwa Julai 27
Jadon Sancho wa Borussia Dortmund (kulia katika picha) na Kai Harvets wa Bayer 04 Leverkusen (Kushoto),nyota wote hawa wanawaniwa na vilabu vya nchini England.
Ni rasmi kuwa dirisha la usajili la majira ya joto kwa vilabu vya England litakua wazi kwa wiki 10 ambapo litafunguliwa Julai 27 na litafungwa octoba 5 mwaka huu.