Baada ya Vanessa,mwingine atangaza kustaafu muziki
DJ, Muandishi wa nyimbo na mtayarishaji wa muziki nchini Marekani Dj Khaled (45) ametangaza nia ya kustaafu kufanya shughuli zamuziki huku akitaka kuwa kama Jay Z au Michael Jordan kwenye upande wa mchezo wa NBA.