Wizara yatoa maelekezo haya kwa Kidato cha 5 wapya
Dkt Leonard Akwilapo, Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia.
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt Leonard Akwilapo, amesema kuwa wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano kwa mwaka 2020, wataanza masomo yao rasmi Julai 20, 2020.