Idadi watahiniwa kidato cha 6 na ualimu yatolewa
Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania Dkt Charles Msonde, amesema jumla ya watahimiwa 85,546 ndio waliosajiliwa kufanya mitihani ya kidato cha sita na ualimu inayotarajiwa kuanza nchi nzima hapo kesho Jumatatu Juni 29, 2020.

