Licha ya Covid19, Umoja wa mataifa wafanikiwa

Picha ya Nzige

Shirika la Umoja wa Mataifa la chakula la kilimo (FAO), limesema limepiga hatua kubwa katika vita dhidi ya Nzige wa jangwani katika eneo la Afrika Mashariki na Yemen kwa kuokoa wastani wa tani 720,000 za nafaka, inayoweza kulisha watu milioni 5 kwa mwaka.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS