
Kikosi cha timu ya soka ya taifa ya Tanzania [Taifa Stars]
Wachezaji wa Simba wakimpongeza Emmanuel Okwi baada ya kufunga bao pekee la ushindi

Kiungo mshambuliaji wa timu ya Simba akipambana na wachezaji wa timu ya Mtibwa Sukar.

Kikosi cha timu ya soka ya Simba katika picha ya moja ya michezo ya ligi kuu Tanzania bara.

Mwenyekiti wa Chama cha Utabibu wa Dawa Asili nchini Tanzania (ATME) Bw. Simba Abdulrahman Simba.

Beki Said Nassoro 'cholo' wa Simba kushoto akichuana na kiungo Haruna Niyonzima wa Yanga kulia.