Vipaji vyaipa jeuri Dar UMISETA taifa
Viwango na ubora ukiambatana na uwezo wa vipaji binafsi vya wanamichezo wa michezo mbalimbali wanaoshiriki michuano ya shule za sekondari mkoa wa Dar es salaam vyafanya viongozi wao kutamba kuibuka washindi wa jumla michuano ya taifa