Rais awaapisha wajumbe tume ya Operesheni Tokomeza
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete jana amewaapisha Wajumbe na Katibu wa Tume ya Kuchunguza Operesheni Tokomeza katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu, Dar Es Salaam.

