Man Water amjibu Sheddy, atetea ushindi Man Water Mtayarishaji wa Muziki wa kizazi kipya Man Walter ameamua kufunguka juu ya tuzo aliyopata kutokana na maneno ya mtayarishaji mwenzake Sheddy Clever, na kusema kuwa alistahili kupata tuzo hiyo Read more about Man Water amjibu Sheddy, atetea ushindi