Michael Wambura akata rufaa kuenguliwa Simba
Michael Wambura leo amewasilisha rufaa kupinga kuenguliwa kwake kwa kamati ya rufaa ya uchaguzi ya TFF akiwa na vielelezo zaidi ya 14 vya kutetea hoja yake akipinga maamuzi ya kamati ya uchaguzi ya klabu ya Simba
