Shahidi ajaribu kumnasua Oscar
Upande wa utetezi wa kesi ya mwanariadha Oscar Pistorius ya kumuua aliyekuwa mpenzi wake, Reeva Steenkamp, leo umeendelea kuita mashahidi zaidi, kujaribu kumnasua mwanariadha huyo mlemavu, katika kesi ya mauaji inayomkabili.