Serikali kulinda kazi za wasanii

Waziri Mkluu Mizengo Pinda

Serikali ya Tanzania imesema imeendelea na urasimishaji wa tasnia za filamu na bidhaa zake kwa kushirikiana na taasisi zinazohusika ili kuiongezea Serikali mapato na kulinda kazi za wasanii.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS