Mtoto wa Nonini kufuata Nyayo?
Rapa wa nchini Kenya Nonini ambaye pia ni baba wa mtoto wa kiume mwenye miaka miwili sasa, ameweka wazi kuwa mtoto huyu ambaye anafahamika kwa jina Jaden, amembadilisha sana maisha yake, mtazamo wake wa maisha na vile vile muziki ambao anaufanya.