Polisi yaanza kuchunguza kifo cha balozi wa Libya

Mkuu wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Suleiman Kova.

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limeanza kufanya uchunguzi kifo cha Kaimu Balozi wa Libya, Ismail Nwairat aliyejiua kwa kujipiga risasi, ili kubaini chanzo cha balozi huyo kuchukua uamuzi huo wa kukatiza maisha yake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS