SSRA kuongeza wigo wa huduma za hifadhi ya jamii

Msemaji wa mamlaka ya usimamizi wa huduma za hifadhi ya jamii nchini Tanzania (SSRA) Bi. Sarah Kibonde Msika.

Mamlaka ya usimamizi wa huduma za hifadhi ya jamii nchini Tanzania – SSRA, inaangalia uwezekano wa kuhakikisha Watanzania wote wanaingizwa katika huduma za hifadhi ya jamii, sambamba na kuangalia uwezekano wa nchi kuwa na fao la kukosa ajira.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS