Ukaguzi unaimarisha majeshi ya SADC - Mwamunyange

Mkuu wa majeshi nchini Tanzania, Davis Mwamunyange.

Mkuu wa majeshi nchini Tanzania Jenerali Davis Mwamunyange amesema uimara wa majeshi ya nchi wanachama wa Jumuiya ya maendeleo kusini mwa Afrika SADC unachangiwa kwa kiasi kikubwa na ukaguzi wa mara kwa mara unaofanywa na idara za ukaguzi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS