Arobaini ya marehemu 'Japanese'

Mwimbaji wa muziki wa dansi nchini marehemu Amina Ngaluma

Kisomo cha Arobaini ya aliyekuwa mwimbaji wa African Stars Revolution na baadae Double M Sound Amina Ngaluma 'Japanese' kinatarajiwa kufanyika kesho kutwa kwa wazazi wake, Kitunda Machimbo jijini Dar es Salaam.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS