Master J: Ningejua Kikaango kipo hivi ningejipanga
Mtayarishaji wa muziki wa kizazi kipya na mmiliki wa studio ya MJ ambaye kwa sasa hivi anajishughulisha zaidi na mambo mengine pembeni ya kutayarisha muziki, Master J, leo hii ameshiriki katika Kikaangoni Live ya ukurasa wa facebook wa EATV.