Rais akipokea shada la maua mara baada ya kutua kwenye uwanja wa ndege wa Nnamdi Azikiwe jijini Abuja Nigeria
Rais Kikwete amewasili kwenye mji mkuu wa Nigeria wa Abuja usiku wa jana, Jumanne, Mei 6, 2014 kuhudhuria Kongamano Uchumi Duniani (WEF) kwa Bara la Afrika – World Economic Forum Africa - lililoanza leo (May 7, 2014).