Wiki hii ndani ya Planet Bongo. Tunaemdelea kumuona Nyandu Tozi ndani ya kitengo ni Part 2, akifunguka zaidi kuhusu historia yake alizia wapi na watungani wamfikisha alipo sasa. Na Planet Bongo tukiwa behind "The scene" kwenye vIdeo yake mpya!Submitted by Lotus on Thursday , 8th May , 2014 Read more about Wiki hii ndani ya Planet Bongo.