Bad Black mahakamani tena
Mwanadada Bad Black, bado anaendelea kukabiliana na mashtaka yake ya ubadhirifu wa fedha huko nchini Uganda, ambapo amefikishwa tena mahakamani kwa kushindwa kulipa deni la shilingi milioni 105 za Uganda alizoazima kwa kuweka bondi gari lake.