Serikali yakana kuhusika ucheleweshaji mishahara

Waziri wa fedha na uchumi wa Tanzania Bi.Saada Mkuya Salum.

Serikali ya Tanzania imesema mishahara ya walimu imechelewa katika baadhi ya mikoa kutokana na matatizo ya kibenki yaliyojitokeza na si ucheleweshaji uliofanywa na serikali.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS