Dj Madtraxx ataka traki za viwango
Msanii maarufu ambaye pia ni mtayarishaji wa muziki nchini Kenya DJ Madtraxx amewajia juu wasanii Afrika Mashariki kuacha kutoa lawama zisizo za msingi, na kujipanga kushindana na kuufikisha muziki wao katika soko la kimataifa zaidi.

