Serikali kusimamia haki za binadamu kwa mahabusu
Wizara ya Mambo ya Ndani nchini Tanzania, imezungumzia tukio lililotokea jana mkoani Mwanza ambapo mtuhumiwa wa kesi ya mauaji alivua nguo kama ishara ya kupinga kuchelewesa kusikilizwa kwa kesi inayomkabili.