Kamati ya usajili Simba kukutana kesho
Kamati ya usajili ya klabu ya Simba kufanya kikao kizito cha kujadili mapendekezo ya kocha Logarusic watatoa maamuzi ya mwisho ya juu ya nani anasajiliwa na nani anaachwa katika kikosi cha msimu ujao wa ligi kuu bara VPL
