Lishe duni inachangia afya duni kwa wajawazito
Upungufu wa Vitamini na Madini umetajwa kuwa moja wapo ya matatizo makubwa ya ki-lishe yanayopelekea kuathiri watoto na wanawake, ambapo upungufu wa madini chuma ukiathiri asilimia 59 ya watoto wadogo na asilimia 41 ya akina mama wajawazito.

